Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

Amini nakwambia. Covid itarudi tena kuanzia October kama amvavyo imefanya na kuondoka na watu kibao mwaka Jana na mwaka juzi. Barakoa na chanjo ndio moja ya preventive measures. Acheni ujinga wa kumwiga Magu kisha akaondoka kwa kovid hiyo hiyo
Hao walio piga chanjo hawafi tena? Unajua kinacho endelea 🇸🇨 Seychelles? Futa ujinga wako ...
 
Hii kitu niliona hata dogo janja akilalamika.
By the way waziri wa utalii anasemaje?
 
Ghrama zipunguzwe kupima covid Tz, $100 nchi nyingine $50 sababu ni nini?????????????????
 
Mtalii anayeenda Tanzania sasa hivi anajitafutia matatizo tu.

Nchi haitaki kupima watu, haitaki chanjo, haina uwazi, bado unang'ang'ania kwenda kutalii?

Wakimpiga huko ada za ajabu ajabu atalalamika?
Ulikwenda kupimwa ulikataliwa? Kama hawapimi kwanini wanalalamika bei ya kipimia kubwa?

unataka uwazi upi huo? Umeenda wizara ya afya umekosa data? Au unataka watangaze visa? kwa faida ya nani? wanakotangaza visa corona imekwisha kwa vile wanatangaza?
Tanzania ndo nchi salama zaidi.
 
Mtu mweusi anafikiria tumbo lake tu ni jinsi gani atatumia taasisi za serikali kujitengenezea pesa bila kujali maslahi mapana ya taifa lake. Sasa watalii watachukia na kupungua kuja Tanzania, wakati hapo U/ndege wakiendelea kujipigia tu.
Hili ni Janga la Dunia na si Janga la Tanzania pekee. So wataalam wa Afya waendelee kuwa walinzi wazuri wa Afya za Watanzania.
Watalii tunawahitaji sana ila Covid 19 hatuiitaki.
 
Kwa hiyo unashangilia nchi kutotangaza idadi ya wagonjwa na unanishambulia mimi kwa kusema kukimbilia kwenda kutalii nchi isiyotangaza idadi ya wagonjwa wala kutoa chanjo ni ujinga?

Unatumia mantiki au uzalendo wa kijinga tu?

Hao watalii wanaojipendekeza kwenda kutalii Tanzania wapigwe tu, maana hakuna jinsi.

Wamekubali wenyewe kwenda nchi isiyoeleweka, wakipigwa watashangaa vipi?

Mtu anayeendekeza utalii muda huu ambao kuna sehemu nyingi za dunia zina Covid ni mtu mbinafsi sana anayeongeza hatari za kusambaza virusi tofauti vya Covid kwa msafa marefu duniani.

Bahati yao hawajapigwa na Covid huko.
 
Kinacho shangaza kwanini mtu aombee irudi badala yakuomba itokomee huko huko! Yaani binadamu sie hata sijui vichwa vyao vinanini
Kuna akili zinapatikana hapa kwetu pekee kwingine hutoziona hata hapo kwa jirani zetu zenji wanajitambua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…