Serikali tatu au serikali za majimbo?

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,334
Reaction score
1,466
Toa mchango wako je mfumo unafaa ni wa serikali moja, mbili, tatu au za majimbo?
Serikali moja itapunguza gharama Zanzibar na pemba kuwa mikoa au katiba iseme ili sehemu kuwa mkoa lazima iwe na idadi kadhaa ya watu

Serikali mbili huu ni uonevu hazifai kwani hakuna uwiano wala sababu za kuwa na wakuu wawili wa nchi
serikali tatu tukubali kuvunja muungano kwani hii itakuwa ni vunjiko'
serikali za majimbo zitaokoa gharama kubwa na kuwafurahisha wapemba na wazanzibari huku kila jimbo likishindana na jimbo jingine kiuchumi, elimu, afya nk. Raisi atakuwa mmoja na kuongozwa na wakuu wa majimbo chini ya katiba moja, amiri jeshi mmoja, ikulu moja, first lady mmoja, waziri mkuu mmoja bunge moja, spika mmoja, nk nk tutaokoa gharama kubwa sana.

Zaidi ya kutafutiana ajira serikali zaidi ya moja inaumiza sana.

Changia ........
 
Tatu na Majimbo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…