Ikulu ya Tanzania itajengwa katika visiwa vidogo vya Baharini.1.zanzibar-ina ikulu
2.tanzania-ina ikulu
3.tanzania bara-haina ikulu
NB:TANZANIA BARA=TANGANYIKA na tanganyika ikulu yake ndio ilichukuliwa na serikali ya muungano.
Je tutaenda kutekeleza katiba mpya chini ya kifungu kwa kuandaa katiba mpya nyingine ya tanganyika na kujenga ikulu nyingine kabla ya 2015 kama hatujaanza sasa?
Ijengwe Arusha bana.
1.zanzibar-ina ikulu

ile ya chamwino na kale ka uzunguni dodoma ni vya serikali gani
1.zanzibar-ina ikulu
2.tanzania-ina ikulu
3.tanzania bara-haina ikulu
NB:TANZANIA BARA=TANGANYIKA na tanganyika ikulu yake ndio ilichukuliwa na serikali ya muungano.
Je tutaenda kutekeleza katiba mpya chini ya kifungu kwa kuandaa katiba mpya nyingine ya tanganyika na kujenga ikulu nyingine kabla ya 2015 kama hatujaanza sasa?
Mkuu, ile ya Magogoni hapa Mzizima iwe ya Jamhuri ya Muungano maana imezoeleka na ni karibu na Zanzibar. Kwa TANGANYIKA pale Chamwino mkoani Dodoma ndipo haswa panapofaa maana ni katikati ya nchi hivo inakuwa rahisi kufikika toka pande zote.ikulu ya dar ni ya tanganyika ya tanzania ikulu yake inatakiwa iwe dodoma!
Shukrani sana mkuu Utingo
Ujenzi wa ofisi(jengo) ya rais wa Tanganyika haipaswi kuwa sehemu ya mjadala wa katiba mpya. Hakuna kifungu kinachoibana nchi kuwa na jengo la namna na hadhi fulani, hizo ni taratibu tu ambazo hukamilika kwa mchakato.
Mbona through planning makazi ya makamu wa rais, waziri mkuu na waziri kiongozi yamejengwa? Mwaka jana tu tumeshuhudia makazi ya speaker wa bunge yakizinduliwa huko Dodoma, hapo kabla speakers walikuwa wakiishi wapi?
Halafu hapa inazungumziwa nchi ambayo uwezo wake ni miles away than human capacity.
Lakini mkuu Ikulu si ndiyo office ya rais pia au ni mahali pa kulala tu? na ikiwa ni office hudhani kuwa ni razima suala hili lijadiliwe katika katiba, wapi ikulu ya Tanganyika itajengwa?
Kwani mkuu Utingo unadhani location ya ofisi ama makazi ya rais ni constitutional affair? Tunahitaji ibara juu ya hili?
kwangu mimi naona tunahitaji hii ibara...manake kama haipo mtu anaweza kuamua kuhamishia ikulu ya nchi hata kijijini kwake na msiseme chochote maana there is no legal or consititutional bound.
Nadhani kupendekeza ibara ya namna hii kutazusha mijadala mingine hasa ya mambo ya ukanda, kisheria kuwa rais wa nchi it's by implication kuwa makazi na ofisi ya rais huyo lazima viwe within boundaries za nchi hiyo. Kwangu mimi hilo latosha.
ni kweli lakini ni vyema ukawepo ufafanuzi wa wazi kuwa ikulu iko mji gani na ambao ni makao makuu ya nchi/serikali. kuliko ilivyo hivi sasa kwamba dodoma ni makao makuu (na wala sidhani ikiwa inasema hivyo katika katiba) ilhali kiuhalisia mako makuu ni dar