Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jul 30, 2013 #21 Nazjaz said: ikulu ya Tanganyika ijengwe Tanga, mji wa watoto lainiiiii Click to expand... duuuuuu!!!! itakuwa karibu na ikulu ya CUF-Jamhuri ya Pemba
Nazjaz said: ikulu ya Tanganyika ijengwe Tanga, mji wa watoto lainiiiii Click to expand... duuuuuu!!!! itakuwa karibu na ikulu ya CUF-Jamhuri ya Pemba
P paul claud Member Joined Jul 29, 2013 Posts 8 Reaction score 1 Jul 30, 2013 #22 serikal moja ndo jibu,kwa kuwa serkal ya tanganyika haipo smz nayo ifutwe halaf tuwe nchì moja Rais mmmoja
serikal moja ndo jibu,kwa kuwa serkal ya tanganyika haipo smz nayo ifutwe halaf tuwe nchì moja Rais mmmoja
Bobwe JF-Expert Member Joined May 21, 2013 Posts 1,232 Reaction score 326 Aug 4, 2013 #23 paul claud said: serikal moja ndo jibu,kwa kuwa serkal ya tanganyika haipo smz nayo ifutwe halaf tuwe nchì moja Rais mmmoja Click to expand... Aifute nani zanzbr?nani mwenye ubavu huo?nyerere imemshinda uje kuweza weye?tanganyika imefutwa na nyerere nenda kamfufue aje aifute na zbr kama hatokufa tena kwa mara ya pili.
paul claud said: serikal moja ndo jibu,kwa kuwa serkal ya tanganyika haipo smz nayo ifutwe halaf tuwe nchì moja Rais mmmoja Click to expand... Aifute nani zanzbr?nani mwenye ubavu huo?nyerere imemshinda uje kuweza weye?tanganyika imefutwa na nyerere nenda kamfufue aje aifute na zbr kama hatokufa tena kwa mara ya pili.