delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,002
- 1,287
Kwa wananchi walio wengi wana matatizo lukuki hasa ya huduma za jamii hususan elimu,Maji na afya hata hawaelewi umuhimu wa serikali tatu kwa wanasiasa serkali tatu ni muhimu kwao na wanaipigania hadi jasho la Damu hivi wanasiasa wanapigania maslahi ya nani? Anayetaka serikali tatu ni nani hasa ni wananchi walio wengi itawanufaishajeitasaidia kuwapa huduma zao wanazozikosa sasa ? Dondosha maoni yako hapa