Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. 2,300.9 ikilinganishwa na Tsh. 2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Utulivu katika mwenendo wa thamani ya shilingi umetokana na utekelezaji wa sera ya fedha, usimamizi madhubuti wa mapato na matumizi ya Serikali, matumizi ya gesi asilia badala ya mafuta na kuzalisha umeme.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Juni 13, 2019 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akiwasilisha bungeni jijini Dodoma taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020.
“Sababu nyingine ni baadhi ya viwanda kuzalisha bidhaa ambazo awali zilikuwa zikiagizwa kwa wingi kutoka nje ikiwemo vigae na marumaru,” amesema Dkt. Mpango.

Hayo maelezo[emoji115][emoji115] kama hayajakosewa basi yanamaanisha thamani ya shilingi yetu haijaimarika bali imeshuka kwa sababu mpaka mwezi April 2019, kwa wastani tumekuwa tukitumia pesa nyingi zaidi (Tsh. 2,300.9) kupata dola 1 wakati kwa mwaka jana katika kipindi hicho hicho kwa wastani tulitumia kiasi kidogo cha pesa (Tsh. 2,270.3) kupata hiyohiyo dola 1.
Kutumia shilingi nyingi zaidi kupata dola 1 kunamaanisha shilingi imeshuka thamani and vice versa.
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Sh2,300.9 ikilinganishwa na Sh2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Utulivu katika mwenendo wa thamani ya shilingi umetokana na utekelezaji wa sera ya fedha, usimamizi madhubuti wa mapato na matumizi ya Serikali, matumizi ya gesi asilimia badala ya mafuta na kuzalisha umeme.

“Sababu nyingine ni baadhi ya viwanda kuzalisha bidhaa ambazo awali zilikuwa zikiagizwa kwa wingi kutoka nje ikiwemo vigae na marumaru,” amesema Dk Mpango.
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Sh2,300.9 ikilinganishwa na Sh2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. *2,300.9* ikilinganishwa na Tsh. *2,270.3* katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. 2,300.9 ikilinganishwa na Tsh. 2,270.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Utulivu katika mwenendo wa thamani ya shilingi umetokana na utekelezaji wa sera ya fedha, usimamizi madhubuti wa mapato na matumizi ya Serikali, matumizi ya gesi asilia badala ya mafuta na kuzalisha umeme.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Juni 13, 2019 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akiwasilisha bungeni jijini Dodoma taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020.
“Sababu nyingine ni baadhi ya viwanda kuzalisha bidhaa ambazo awali zilikuwa zikiagizwa kwa wingi kutoka nje ikiwemo vigae na marumaru,” amesema Dkt. Mpango.
Nini kinaendelea katika Pesa yetu ya Tanzania? Kwa miezi kadhaa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola ya marekani ulikuwa imara (stable) ila kwa wiki kama mbili au tatu sasa thamani yake imekuwa ikiporomoka. Nini kinaikabili pesa yetu?
Nini kinaendelea katika Pesa yetu ya Tanzania? Kwa miezi kadhaa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola ya marekani ulikuwa imara (stable) ila kwa wiki kama mbili au tatu sasa thamani take imekuwa ikiporomoka. Nini kinaikabili pesa yetu?