Serikali toeni kauli suala la Kadi feri Kigamboni

Serikali toeni kauli suala la Kadi feri Kigamboni

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni.

Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni.

Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo.

Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi unaambiwa ukapite darajani.

Kama hizo Kadi ni muhimu hivyo why msitoe bure? Toeni bure then watu waweke ela.

Coz hata njia yenyewe ya kuweka ela ni shida, unaweza kukuta folen kubwa ambayo haina msingi wowote watu wanagombana ishu ya Kadi.

Please Serikali hebu toeni kauli yenu.
 
Back
Top Bottom