Serikali: Tsh. Bilioni 15 zimetolewa na Hazina kukabiliana na Corona

Anasema "wamefanya Mambo mengi" kuwakinga watoa huduma.mambo mengi.........
 
Zionekane basi zikitenda kazi kupunguza makali ya ugonjwa

Ila hizo ni mbali na zile za msaada wa wadau?
 
Hizi fedha zikafanyie kazi husika kwa weledi na uadilifu

Tusichukulie uwepo wa Rais kijijini kwake iwe ndio fursa ya kupiga, Corona ikiisha akarudi Mjini mtazitapika

Hizi sio fedha za kugawana posho Wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…