Serikali tuambieni je, huyu Rostam ndiyo Gupta wa Tanzania kwa sasa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Anaweza akawa wala masikini ya Mungu hana baya kwa Rasilimali za Tanzania, za Watanzania na siyo Fisadi au Opportunist na hajamweka Mtu Mfukoni mwake ila kwakuwa Siku hizi anaonekana kila mara ( utadhani Wachezaji wa Kiungo wa Yanga SC akina Max Zengeli na Pakome Zouzou ) si vibaya Watanzania ( GENTAMYCINE ) nikiwemo tukaelezwa Kiundani na Kiufafanuzi ni ipi Role yake hasa kwa Viongozi wa Nchi hadi anapewa Kipaumbele, Anaogopeka, Ananyenyekewa na Analindwa sana?

Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanamume na Mashujaa tupu Mkoani Mara Mobhare Matinyi ( Msemaji wa Serikali ) najua upo hapa JamiiForums ( nimethibitishiwa hili ) japo hutumii Verified Account kwa Unyali ( Uwoga ) na huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa hivyo naamini utakuja Kunijibu kwa Niaba ili kuwatoa Hofu Watanzania wengi Wenye Akili Kubwa ambao Wanalihoji hili, linawapa Wasiwasi na tayari wameshaanza Kuhisi mengineyo.
 
F9Nuw_WXYAA3qAr.jpeg
 
wee nenda chato,piga magoti kwenye kaburi la marehemu mheshimiwa niliyempenda mno MAGUFULI!!mwombe MUNGU ailete roho ya MAGU kama alivoleta roho ya nabii elia mtishbi zama hizo kwa watumishi wake,,,atakueleza mambo mengi sana kuhusu huyu chalii,tangu alipokimbia nchi{baada ya kukimbia uchumi ukayumba kutokana na mzunguko wa ela kuwa mdogo] ikabidi mdogo wake huyu taikuni anayejushuhulisha na uwindaji akamatwe kwa kisingizio cha kumiliki bunduki kiharamu{wakati analeseni}.......so sharti likawa moja,tumwachie mdogo wako urudi na uendeze biashara zako hapa,,,au usirudi tumfanye kama paulo na sila,,,,ikabidi rosta arudi,,,,,,baada ya kurudi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,"use common sense!!!!!
 
Rostam ndiye mshauri wa uchumi ndani ya serikali ya Samia na siye yule Professor wa majalani aliyekunywa dawa ya covid ya Madagascar!
 
Back
Top Bottom