Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu.
Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua.
Swali:
Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?