Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote.
Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi Febuari na sasa Aprili tuishi vipi?
Au twende na kauli mbiu ya mama ya kula kwa urefu wa kamba zetu?
Mtumishi aliyenyimwa mshahara akipata mpenyo wa kuiba pesa au mali za umma mnadhani atauacha huo mpenyo? Ikitokea takrima munadhani ataiacha?
Kwa ustawi wa Taifa ni vyema mutupatie hiyo haki yetu. Tunajua ni pesa ndogo lakini tupeni vivyo hivyo tuitumie siku 3 iishe tuwaze mengine.