Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hamna shidaHamrudishiwi hata 💯 ya bati kudadeki. Wahuni wameshazibonda tayari hizo pesa zenu. Wahuni siyo watu hata kidogo.
Mimi si mwalimu.Kama unaweza kuiba s erikalin we iba kama mwalim ss sijui utaiba wapi na ww inaonekana mwalim sa sijui itakuwaje
No. Sifanyi kazi kwenye madawatiIba madawati
Ukitaka haki Yako siku hizi lazima tu,ni lazima sana tena sana utoe chochote ,hata kama ni haki Yako lazima kirushwa kipite ndo utaipata haki yako tena kwa usumbufu pamoja na kutoa chochote,labda ujuane nao napo watakulamba tu bila huduma,bila hivyo wewe endelea kulia tuMbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote.
Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi Febuari na sasa Aprili tuishi vipi?
Au twende na kauli mbiu ya mama ya kula kwa urefu wa kamba zetu?
Mtumishi aliyenyimwa mshahara akipata mpenyo wa kuiba pesa au mali za umma mnadhani atauacha huo mpenyo? Ikitokea takrima munadhani ataiacha?
Kwa ustawi wa Taifa ni vyema mutupatie hiyo haki yetu. Tunajua ni pesa ndogo lakini tupeni vivyo hivyo tuitumie siku 3 iishe tuwaze mengine.
Haya.Ukitaka haki Yako siku hizi lazima tu,ni lazima sana tena sana utoe chochote ,hata kama ni haki Yako lazima kirushwa kipite ndo utaipata haki yako tena kwa usumbufu pamoja na kutoa chochote,labda ujuane nao napo watakulamba tu bila huduma,bila hivyo wewe endelea kulia tu
Wasiliana na Pdiddy akufidie.Mbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote.
Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi Febuari na sasa Aprili tuishi vipi?
Au twende na kauli mbiu ya mama ya kula kwa urefu wa kamba zetu?
Mtumishi aliyenyimwa mshahara akipata mpenyo wa kuiba pesa au mali za umma mnadhani atauacha huo mpenyo? Ikitokea takrima munadhani ataiacha?
Kwa ustawi wa Taifa ni vyema mutupatie hiyo haki yetu. Tunajua ni pesa ndogo lakini tupeni vivyo hivyo tuitumie siku 3 iishe tuwaze mengine.
P Diddy huyuhuyu anayewazibua mitaro wasanii wetu?Wasiliana na Pdiddy akufidie.
Hahaha huyohuyo.P Diddy huyuhuyu anayewazibua mitaro wasanii wetu?
Teacher una vituko.P Diddy huyuhuyu anayewazibua mitaro wasanii wetu?