Serikali: Tunaipongeza Simba Sc kwa kuendelea kuupiga mwingi

Serikali: Tunaipongeza Simba Sc kwa kuendelea kuupiga mwingi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote.

Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

"Sote tumeshuhudia Simba wakiendelea kuupiga mwingi," ametamka Majaliwa.
 
Back
Top Bottom