Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote.
Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
"Sote tumeshuhudia Simba wakiendelea kuupiga mwingi," ametamka Majaliwa.