Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hili suala Serikali iingilie kati ili kuokoa madhara ambayo yanaweza kuja tokeo siku za uson.
Kumeanzishwa harakati za kutupaka matope,kutupaka choo,kutuua kimaneno,kutudhalilisha na kututweza sisi wenye miili ya mazoezi.
Watu wembamba,mabonge na walegevu wanakaza sana kutuharibia image yetu.mara waseme sisi tuna nyama hata kwenye sambusa zipo (watuoneshe sambusa zinazonyanyua vyuma)
Mara waseme eti mboooh zetu huwa zinapungua,mara waseme kuwa sisi ni wagomvi,mara waseme tukienda kwenye game tunakamia hatuna mahaba,mara waseme eti baadaye tunaota matiti n.k
Sasa wameanza kutuzushia kuwa kwa wale wenzetu mabaunsa wanaomba pesa kwa wateja kwa nguvu. Tena mmoja anasema kuwa eti "baunsa akikuomba beer ukamnyima basi hapo hata ukaimba wimbo unaochezwa hapo bar anakuja kukubeba kukutoa nje kuwa unakosea maneno ya kwenye wimbo,unapiga kelele au unaleta fujo"
Wengine tunawasikia vizuri tukipita karibu nao wakiwa na mademu zao.utasikia. " humo hamna kitu.ni kama puto tu ukiweka sindano linapasuka" wanatuua sana kufanya mademu watuchukie.
Na wengi huwa wachokozi tukiamua kuwagonga wanakimbilia kusema sababu sisi mabaunsa n.k ila kwa kuongea wanaongea sana.
Sasa huu uzushi wanaoendelea nao nasi tunaweza amua kuwazukia kweli kweli ili sasa wazuke. Watajua sisi ndo Wakuzuka wenyewe sasa.
Serikali ipige marufuku maneno ya hawa ambao hawakuweza fanya mazoezi dhidi yetu.maana tunajua ni roho tu ya kukosa. Mara waseme "ooohhh we piga zoezi kama huna pesa ni bure tu" mara waseme mabinti hawataki six packs wanataka mkwanja n.k
Sisi tunafanya mazoezi kwa afya kama mabinti hawataki si wao?ikitokea fujo sehemu hawahawa huwa wanalalamika kuwa imetokea fujo baunsa yupo tu anakunywa mtori na chapati. Mliambiwa sisi ndo kazi zetu mitaani?
Sasa endelee kutupaka....sisi tutawapakata.mkizusha zaidi tutawazukia. Na week ijayo tutakuwa na kikao ku deal na ninyi. Pia kuna ugumu gani ukaja bar ukampa beer mbili tatu mtunza ulinzi?mbona barmaids mnawapa? Hamjui wakitokea vibaka bar mabaunsa ndo wa kwanza ku deal nao?
Endeleeni kutuua hata mitandaoni tutakutana kitaa.sisi hatuna maneno mengi.ni vitendo tu. Kama mbwai ,mbwai tu.