Serikali: Tunataka nchi nzima kupata mawasiliano 100% Kufikia 2030

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.

Your browser is not able to display this video.
 
Hapa tu Kibamba internet ya shida,hiyo nchi nzima itatimia kweli kwa mwaka huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…