PostGE2025 Serikali: Tupo huru na Hatuingiliwi na maamuzi ya Bunge la Ulaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Hawa wapumbavu wanaelewa hata maana ya kuwa huru?

Hivi huwa wanaishi wapi hadi mioto haiwapati?

Dawa ni kuwawasha moto wao na familia zao ndio wataelewa maana ya uhuru.
 
Tulitaka kuwaambia ya kuwa wakome na kuacha mara moja kuingilia maswala yetu ya ndani ya Nchi. Waache unafiki wao. Waende huko Gaza ambako kila uchao watu wasio na hatia wanafariki
Kabla ya maandamano kipindi cha nyuma wakati mikopo na misaada inaletwa, mbona hamkuwaambia wakome na kuacha mara moja kuingilia masuala ya ndani ya nchi?
 


Wewe Lucas, kama familia tuache kwanza tuna kikao nyumbani na hili bandiko hatujakutuma. Tunajadili wakituwekea travel embargo tuta-enjoy wapi maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…