Serikali Uganda yawataka Wananchi kula kilo 2 kwa siku 10

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Rais wa Uganda Yower museven amesema Leo amefanya utafit unoa onesha kua. Binadam kwa siku anaweza kula gram 250 za unga kwa mlo mmoja ivyo akiwagawia raia wake kilo mbil mbili wataweza kula kwa muda wa siku kumi

Kama mnavyo jua sasaiv Uganda hawana chakula Cha kutosha Kwan tayar wanach wamesha Anza muandama kutaka serekal iwape chakula

Pia Hali ni mbaya hata kwa Kenya sababu walitaka waanze kuagiza chakula kutoka Ethiopian bahati mbaya daraja kubwa linayo iunganisha Kenya na Ethiopian limesombwa na mafuriko ya maji.

Rais Museveni kupitia Twitter ameandika haya

------
I asked the kitchen staff to prepare 1kg of the maize flour from the food being distributed by the COVID-19 relief team. My intention was to understand how an individual can consume this food optimally during this period.

The scientific conclusion we have arrived at is that 250gs of Posho is optimal for consumption in this situation, this means that for 2.6kgs of posho, about 10 days are possible.

Hence, if each individual can consume about 250gs of the relief Posho per meal, you can obtain enough calories to enable you to considerably survive for quite some time. The food should not be consumed wastefully.

1.jpg

2.jpg
 
Hujamuelewa alafu unakuja kubisha io 2.6 kg ni kwa siku 10 Gram mbili kwa mlo mmoja ANOTINO
 
Magufuli big up sana huko uliko chato maana, sisi hutujafikia hiyo hatua, waliwaiga wanzungu sasa wameona fire hapo bado mapema tutawauzia gunia moja la mahindi 100k maana sisi ndio tunaelekea kwenye mavuno, poleni ndugu zetu mlitufungia mipaka sasa mtaagiza chakula toka Ethiopia kisha nao watauzia kwa bei kubwa mpaka mkimbie maana hawatavumilia kuona chakula chao kinaisha ilihali hali sio nzuri.
 
Itafikia hatua watu watasema magufuli tusamehe kwa kujaribu kupotosha ukwel japo Sio Sasa Ila hata akiwa amesha kufa watu watakumbuka umuhim wake
Magufuli big up sana huko uliko chato maana, sisi hutujafikia hiyo hatua, waliwaiga wanzungu sasa wameona fire hapo bado mapema tutawauzia gunia moja la mahindi 100k maana sisi ndio tunaelekea kwenye mavuno, poleni ndugu zetu mlitufungia mipaka sasa mtaagiza chakula toka Ethiopia kisha nao watauzia kwa bei kubwa mpaka mkimbie maana hawatavumilia kuona chakula chao kinaisha ilihali hali sio nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya nao wafuate utafiti wa museveni tuone kama watatoboa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Awo ngoja wiki mbili tuuh vitungu watavisikia kwenye bomba,watakula ma mrungi hadi wamakinike

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Yule alisema mungu yupo bise kashaanza kufanya mambo yasiyofanywa na mtu mwenye akili timamu

Back
Top Bottom