Alipaswa awe waziri wa nishati kwa bahati mbaya JIWE hakuwa anapenda akina MRAMBA.Alikua jembe alipokua tanesco. Baada ya kuonja trapings za wabenz ametugeuka.
Nilimsikia marehemu akisema kuwa eti aliambiwa na born town aliyeasisi uchimbaji wa gas kule kwa bibi kuwa eti hata yeye hajui ilikuwaje,ila nikajiuliza tu,gas si huwa ina evaporate? So itakuwa ilipotelea hewani,sasa hatuna tech ya kuikusanya ikishaingia kwenye hewa,wachina ndiyo wakatuzidi hapo,hata mama hajui ilikuwaje,hakuna anayejua ilikuwajeWasitugeuke tu....ila nauliza siri ya gas yetu ni nini ? Imeuzwaje ? Ilikuwaje?
Kwamba wanazima umeme kusudi!?..akili zenu bwana!!Alikua jembe alipokua tanesco. Baada ya kuonja trapings za wabenz ametugeuka.
Kuna mkatana JK aliingia na wachina sijui kwa sbb gani ( rizmoko....labda ipo siku tutajua) ....huwezi kuuza gas yooote bila maelezo kwa nini ....mali nchi haina maelezo ? Ipo siku tutajua tu....tutanyongana hapa.....time will tell subiri tuNilimsikia marehemu akisema kuwa eti aliambiwa na born town aliyeasisi uchimbaji wa gas kule kwa bibi kuwa eti hata yeye hajui ilikuwaje,ila nikajiuliza tu,gas si huwa ina evaporate? So itakuwa ilipotelea hewani,sasa hatuna tech ya kuikusanya ikishaingia kwenye hewa,wachina ndiyo wakatuzidi hapo,hata mama hajui ilikuwaje,hakuna anayejua ilikuwaje
inamankusweke uko tayariKwamba wanazima umeme kusudi!?..akili zenu bwana!!