Serikali: Uwanja wa Taifa sasa ruksa kutumiwa na Simba na Yanga

Serikali: Uwanja wa Taifa sasa ruksa kutumiwa na Simba na Yanga

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Taarifa kwa Umma Kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo:Uwanja wa Taifa Ruksa kutumiwa na Simba na Yanga.

C3LjMa7W8AIhjWU.jpg
 
Mapatooo mapatoooo
Watu walikuwa wana lala njaa.
Ila na washabiki wa bongo tuwe wa staarab bas
 
Sasa mechi ya kesho, Azam vs Simba inafanyika Uhuru au Taifa?

Vv
 
Sijapenda maana serikali ndio inawadekeza hawa jamaa wasijenge viwanja vyao, wataharibu na wataomba msamaha
 
Hapo wa Mchangani washavurugiwa kamati yao ya ufundi iliyoseti mitambo Shamba la Bibi sasa mechi inapigwa Taifa.
 
TFF na SERIKALI zina mchango mkubwa katika failure za Simba na Yanga Kimaendeleo na Mafanikio Kimataifa....
 
Common sense imewarudia. Uwanja una gharama za matunzo hata kama hakuna mechi!
Sasa wameona gharama Zimekuwa mzigo wakati hawaingizi chochote!
Pamoja na hayo, wale wang'oa viti lazima wadhibitiwe!
 
Back
Top Bottom