Ubora unawekewa kiwango, TBS Ina kazi Gani?shida kubwa ni ubora kwa wazilishaji wa ndani upo chini kwa namna moja au nyingine hivyo hizi sabuni za nje ziendele kuwapa chachu kuimarisha ubora wa bidha wanazozalisha hivyo sioni tatizo apo
Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji Kwa viwanda vikubwa.
Sabuni hata ghetto inatengenezwa, siku tukikosa sabuni za India na Dubai, akili itatukaa kichwani. Serikali ifungue baadhi ya importation ya BIDHAA kama mafuta ya kula, toothpick, acha tutumie kamba akili zitukae kichwani.
Kwa akili zako ndio maana vijana mmelala mnaacha wakubwa waongoze wakati watoto wenu na wake zenu mnashindwa kuhudumia. Kua seriousChama cha wapinga nyeto (CWN)kitakuja kutoa kauli kali kulaani mtoa uzi kuminya uwingizwaji wa sabuni ambazo maji kidogo povu jingi.