Serikali vs tcu.


Kwa mujibu wa taarifa yako masaa 24 yana isha leo saa 6 mchana, ni kama masaa ma3 toka sasa, kama taarifa yako ni ya uongo utawakoma wana jamvi
 
Ha ha ha ! Unanifurahsha sana NingaR,huyu tumsamehe tu.Mi jana nilimwambia ikifika kesho(leo) ambayo itakuwa jmosi itakuwaje? Akasema tusubiri.
 
Last edited by a moderator:

tumekuongeza another 24hrs
 
Wakuu tuwe wavumilivu tu,hata wachelewe vipi lazima watatoa tu allocation za loans.
 
tumekuongeza another 24hrs

naomba msamaha wenu wana jamv mchana nilijarbu kuongea na yule bwana akadai jana walshndwa kumalza kzi yao kwan inaonekana kuwa ngumu na hvyo akaniambia mpak jtatu,ila sito waahidi tena but just weit.Pia kama kuna mwana agrbusnes ambaye jina halionekan SUA.pia kadai jtatu ndo itaeleweka.SAMAHan sana wangwana wenzangu.
 

Haya hakuna shida!! wacha tusubiri hiyo juma tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…