Viongozi wa dini ndio walezi wa kiroho na maadili wa Watanzania.
Siku za hivi karibuni waneanza kunyooshea vidole polisi kuwa hawawezi kazi kupambans na watekaji na kujifanya kusikitishwa sanaaaaa usanii mtupu huo.
Serikali waambieni viongozi wa dini kuwa watekaji ni waumini wao waliowashidwa kwenye dini zao waache kunyoshea vidole polisi.
Wao huko kwenye dini zao wamewashindwa kuwaweka sawa kiroho na kimaaadili leo wanajitia wao ohhh lawama zote kwa serikali na polisi na wao kujiona watakatifu.
Viongozi wanatakiwa kujitathmini kuwa wanalea waumini kisawasawa au la hadi wanakamatwa kwa ubakaji utekaji, ujambazi nk.
Sioni mantiki ya viongoxi wa dini kujifanya vinara wa kushambulia serikali wakati wao pia ni sehemu ya kuilea jamii kiroho na kimaadili.
Waache mihemko ya kuambiwa na wewe kiongozi wa dini toa tamko la kulaani serikali na kiongozi anainuka kama mwehu kulaani bila tafakuri ya kina.