Ndg zangu waalimu,
Ni juzi tu tumesikia kwamba serikali imeandaa zaidi ya billioni 1 na mil 60 kwa ajili ya kuhakikisha Tundu lisu haungani na UKAWA katika jitihada zao za kulikomboa taifa hili.
Hembu tujiulize masikini wenzangu, pesa hizo zingetumika kuwafariji waalimu waliotelekezwa katika mazingira magumu, serikali hii ingepungukiwa na nini? Mpango wao wa BRN usingefanikiwa????