DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.

Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli.

Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
 
Wanafanyajisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhurumiwa na hawana pakulala mika

Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha huu ni uonevu na dhuruma kwakweri uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi
Kuna ukondoo ndani yake.
 
Itaje migodi husika mkuu
asilimia 95 ya wa miliki wa migod ya huko wana tabia hizo na toka unaingia kazin siku ya kwanza mpaka miez minne hakuna cha sent wala posho wanachojali wao ni ugali wa dona na mahalage watu wanafamilia watu wana mahitaj maalumu kama sabun nk lakin mabos hawajali hayo na end the day wanaishia kuwadhulumu kuna mfanya kaz mmoja alishawai pigwa risasi kisa kudai haki yake na huyo mmiliki ni mturuki
 
Hadi sasa malalamiko yao wamefikia wapi!? Kwa mwajiri, mahakaman au
maskin kumdai tajir kesi yake inakuwa vp mtu toka mwez wa kwanza had wa nne hana hela huko mahakaman unaenda kudai kwa hatua ipi mana inaitajika pesa
 
maskin kumdai tajir kesi yake inakuwa vp mtu toka mwez wa kwanza had wa nne hana hela huko mahakaman unaenda kudai kwa hatua ipi mana inaitajika pesa

Mkuu
Hilo suala kama la wengi wanakaa kikao nakuwakilisha malalamiko yao kwa maandishi kwenda kwa mwajiri, pamoja na kumuomba aitishe kikao. Kama hakuna suluhu. Hapo wanaweza kwenda kwa mkuu wa wilaya
 
Mkuu
Hilo suala kama la wengi wanakaa kikao nakuwakilisha malalamiko yao kwa maandishi kwenda kwa mwajiri, pamoja na kumuomba aitishe kikao. Kama hakuna suluhu. Hapo wanaweza kwenda kwa mkuu wa wilaya
sawa mkuu ngoja niangalie namna ya kuwashauri
 
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.

Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli.

Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
Pole yao
 
Back
Top Bottom