Kuna ukondoo ndani yake.Wanafanyajisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhurumiwa na hawana pakulala mika
Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha huu ni uonevu na dhuruma kwakweri uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi
asilimia 95 ya wa miliki wa migod ya huko wana tabia hizo na toka unaingia kazin siku ya kwanza mpaka miez minne hakuna cha sent wala posho wanachojali wao ni ugali wa dona na mahalage watu wanafamilia watu wana mahitaj maalumu kama sabun nk lakin mabos hawajali hayo na end the day wanaishia kuwadhulumu kuna mfanya kaz mmoja alishawai pigwa risasi kisa kudai haki yake na huyo mmiliki ni mturukiItaje migodi husika mkuu
maskin kumdai tajir kesi yake inakuwa vp mtu toka mwez wa kwanza had wa nne hana hela huko mahakaman unaenda kudai kwa hatua ipi mana inaitajika pesa
sawa mkuu ngoja niangalie namna ya kuwashauriMkuu
Hilo suala kama la wengi wanakaa kikao nakuwakilisha malalamiko yao kwa maandishi kwenda kwa mwajiri, pamoja na kumuomba aitishe kikao. Kama hakuna suluhu. Hapo wanaweza kwenda kwa mkuu wa wilaya
Pole yaoWanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.
Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli.
Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.