KERO Serikali wapangeni wafanyabiashara wa Mbezi Magufuli kwenye maeneo maalumu ya biashara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwanini wafanyabiashara wa stendi ya Magufuli Mbezi wameachiwa kufanya biashara zao kwa kuzurura ndani ya stendi na kupanga biashara kila mahali wakati kuna majengo ya kufanyia biashara? Kuna wafanyabiashara wanauza bidhaa zao karibu kabisa na milango ya vyoo jambo ambalo sio zuri kiafya.


Ni vyema wafanyabiashara wote wakafanyia biashara zao katika maeneo maalumu yaliyotengwa kufanyia biashara ili kuondoa usumbufu na sintofahamu ndani ya eneo la stendi.

 

Attachments

  • 1.JPG
    345.7 KB · Views: 3
Yan haya mambo unajiuliza yanashindikanaje wakati nchi zingine inawezekana? Na kama maeneo kama airport inawezekana kwanini kwenye stendi za mabasi ishindikane? Mzururaji asiye msafiri au asiyekuwa na mgeni wa kumpokea stendi, anaruhusiwa kufanya nini stendi siku nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…