Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hao wanaosema hivyo,mbona kwenye mbio na mikesha ya Mwenge watu wamejaa kama mchanga.?Katika juhudi za kupambana na maambukizi ya #Corona, Serikali kupitia Wizara ya Afya imetaka Masoko, Magulio na Minada kuhakikisha inazingatia umbali kati ya mtu na mtu, na kila mwenye biashara kuweka vifaa vya kunawia mikono.
Aidha watu wasio na kazi maalumu wametakiwa kutoonekana kwenye masoko ili kuepusha misongamano isiyo ya lazima.
Pamoja na hayo, Wizara imezuia mambo ya kuwawekesha watu kama kuchoma nyama ili watu wanunue nyama na kwenda nayo nyumbani badala ya kusubiria na kusabbisha msongamano.
Kazi nyingi za wabongo si maalum. Sijui watabaini vipi kazi maalum na zisizo. Eeeeh!Katika juhudi za kupambana na maambukizi ya #Corona, Serikali kupitia Wizara ya Afya imetaka Masoko, Magulio na Minada kuhakikisha inazingatia umbali kati ya mtu na mtu, na kila mwenye biashara kuweka vifaa vya kunawia mikono.
Aidha watu wasio na kazi maalumu wametakiwa kutoonekana kwenye masoko ili kuepusha misongamano isiyo ya lazima.
Pamoja na hayo, Wizara imezuia mambo ya kuwawekesha watu kama kuchoma nyama ili watu wanunue nyama na kwenda nayo nyumbani badala ya kusubiria na kusabbisha msongamano.
Labda kujiuza ndiyo siyo kazi maalumKazi nyingi za wabongo si maalum. Sijui watabaini vipi kazi maalum na zisizo. Eeeeh!
Mbona kwenye mwenge wa Uhuru wanakusanyika?Katika juhudi za kupambana na maambukizi ya #Corona, Serikali kupitia Wizara ya Afya imetaka Masoko, Magulio na Minada kuhakikisha inazingatia umbali kati ya mtu na mtu, na kila mwenye biashara kuweka vifaa vya kunawia mikono.
Aidha watu wasio na kazi maalumu wametakiwa kutoonekana kwenye masoko ili kuepusha misongamano isiyo ya lazima.
Pamoja na hayo, Wizara imezuia mambo ya kuwawekesha watu kama kuchoma nyama ili watu wanunue nyama na kwenda nayo nyumbani badala ya kusubiria na kusabbisha msongamano.
Zindiko hilo!Mbona kwenye mwenge wa Uhuru wanakusanyika?
Au Corona inauohopa mwenge?
fata maelekezo kama hunajambo lolote lamana eneo hilo usiendeKazi maalum ni ipi?