Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini Unguja).
Hadi sasa NIDA wamefanikiwa kuzalisha na kugawa vitambulisho milioni 8. Najiuliza miezi minne iliyobakia mwaka huu itaweza kugawa vitambulisho kwa mamilioni ya watanzania wanaotumia namba bila kuwa na vitambulisho.