Kweli mkuu. Si rahisi kabisa kuwaamini.Huu wimbo umekuwepo muda mrefu sana.
Anajua ni usanii tupuKweli mkuu. Si rahisi kabisa kuwaamini.
Kama ana uhakika na analosema atoe ahadi ya kujiuzulu wadhifa wake kama zoezi halitakamilika.
More than 3 years wanahangaika na vitambulisho milioni 8??Mil 8..!! They are not serious
Usimwamini mwanasiasa hata kama akiwa mama ako mzazi.Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini Unguja).
Hadi sasa NIDA wamefanikiwa kuzalisha na kugawa vitambulisho milioni 8. Najiuliza miezi minne iliyobakia mwaka huu itaweza kugawa vitambulisho kwa mamilioni ya watanzania wanaotumia namba bila kuwa na vitambulisho.
Mimi tokea 2018 mpaka leo sijapata kitambulisho.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini Unguja).
Hadi sasa NIDA wamefanikiwa kuzalisha na kugawa vitambulisho milioni 8. Najiuliza miezi minne iliyobakia mwaka huu itaweza kugawa vitambulisho kwa mamilioni ya watanzania wanaotumia namba bila kuwa na vitambulisho.
Itabidi waweke mbolea za kwenye mashamba ya miwa na wamwagie kwa kutumia wanzuki, hata hivyo kikao cha bunge lazima kiwe na wapiga vigelegele.Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini Unguja).
Hadi sasa NIDA wamefanikiwa kuzalisha na kugawa vitambulisho milioni 8. Najiuliza miezi minne iliyobakia mwaka huu itaweza kugawa vitambulisho kwa mamilioni ya watanzania wanaotumia namba bila kuwa na vitambulisho.
Ni miaka inakaribia 10 siyo mitatu. Mimi nilijiandikisha mara mbili, baada ya miaka mitatu nilifanikiwa kukipata kitambulisho.More than 3 years wanahangaika na vitambulisho milioni 8??
Umeona sasa, yaani ni hovyo sanaaaaa aisee..Bi miaka inakaribia 10 siyo mitatu. Mimi nilijiandikisha mara mbili, baada ya miaka mitatu nilifanikiwa kukipata kitambulisho.
NIDA kuna tatizo kubwa sana. Lakini siyo nida, ni serikali ya CCM yenye matatizo mazito yasiyorekebishika milele.
Kwa NIDA hii hapo bado sana. Hata ukikipata baada ya miaka mitano ushukuru.Mimi tokea 2018 mpaka leo sijapata kitambulisho.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
HahahahaVipi kwa waliofariki ama kufa kabla ya kuvipata watapatiwa fidia yoyote