johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jambo zurii ila Mimi hua simuamini Msigwa
Zanzibar na Msigwa wapi na wapi? Ila pia Znz wamechanja watu 10K tu.Zanzibar iko wapi?
Huko ni nyumbani 😙😙Zanzibar iko wapi?
Mikoa yenyewe sasa!!!???! Afu watoe na takwimu za waatu walio chanjwa afu wakafa.Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema hadi sasa watanzania zaidi ya laki tano wamepata chanjo ya covid 19 ambayo ni 51% ya chanjo zilizopokelewa.
Mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na Mtwara, amesema!