Kuna tofauti kati ya mtu na binadamu. Wale wa Dar ni watu na yule wa Chato ni binadamu, na kiongozi mkuu ajaye wa Malaika...Kila mtu anajua kilichotokea Dar wakati was kumuaga JPM!..
Ikiwa wameacha kutoa pole ya watu wote waliokufa kwa corona, haishangazi kutokufanya hivyo. Nchi zote duniani zimeweka record za watu wote waliokufa kwa corona na zinaazimisha siku walau ya kuwakumbuka, pia wanawashukuru sekta ya afya kwetu tunajifanya wajinga.Kweli hat amimi nimesikiliza wazungumzaji wote leo sikusikia hata mmoja aliyetoa pole kwa wahanga wa Dar. Hata Waziri Mkuu ambaye ndiye mratibu wa shughuli nzima ya mazishi amepuuza jambo hilo. Na zaidi, kamati ya maafa iko katika ofisi yake, hivi ni kweli suala la vifo vya Dar katika mkanyagano wa kuangalia maiti ya JPM halijafika ofisini kwake?
Tumeambiwa mambo yatayoendelea ni yaleyale. Tunalo!Ikiwa wameacha kutoa pole ya watu wote waliokufa kwa corona, haishangazi kutokufanya hivyo. Nchi zote duniani zimeweka record za watu wote waliokufa kwa corona na zinaazimisha siku walau ya kuwakumbuka, pia wanawashukuru sekta ya afya kwetu tunajifanya wajinga.
Hata mimi nimeshangaa
Na pia nashangaa wameshindwa kuacknowledge uwepo wa wapinzani msibani
Ukitoa pole maana yake umekubali tukio limetokea, serikali haijakubali tukio limetokea mpaka leo kwa jinsi ninavyojua.Kila mtu anajua kilichotokea Dar wakati wa kumuaga JPM!..
Usije kushangaa ukaambiwa wale walikuwa na kifafa cha ukoo, unamjua Majaliwa au unamsikia?Ukitoa pole maana yake umekubali tukio limetokea, serikali haijakubali tukio limetokea mpaka leo kwa jinsi ninavyojua.
Kama ilikubali kwa tamko rasmi limenipita naomba nijulishwe hilo.
Point blank, kuna tofauti kati ya hayati na marehemu.Kuna tofauti kati ya mtu na binadamu. Wale wa Dar ni watu na yule wa Chato ni binadamu, na kiongozi mkuu ajaye wa Malaika...
Wa Dar ni marehemu, Wa Chato ni hayati...