Serikali wekeni bima maalumu kwa wazee 65+

Serikali wekeni bima maalumu kwa wazee 65+

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa.

Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa kwenye hospital za kulaza. Bila hivyo mfuko mzima utamalizwa na wazee hawa
 
Back
Top Bottom