Serikali/Wizara ya Habari hamuwaoni Mamodel/video queen kama huyu??

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442

Hivi serikali haiwaoni mamodo /video queen kaka huyu pichani?
Hali imekua mbaya sana hawa mamodo wameamua kabisa kupiga picha za uchi na kuziweka mitandaoni
Utamaduni na maadili ya Mtanzania yanakwenda wapi?
Yupo Amber Lulu,Gigy Money,Amber lutty na sasa kaibuka huyu anaitwa Agness
Itabidi hawa walipe kodi manake kwanza wanatutia stimu tu Sie malijari.[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Hivi mtu kama huyo anao wazazi ambao wapo makini na wanaoweza kumkemea?Au huyo ndio mkubwa hata kwa wazazi wake?
 
Daah sema wazazi wake watakuwa watoto.
 
[HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG] kiasi kwamba kila mtu anaangalia atoke vipi..ila uongo mbaya hawa wanaopiga hizi picha wanafaidi jamani angalau wao wanaona live..
 
wanaonesha urembo wa umbile lao la asili. Yaana ni binadamu mwanamke kimaumbile
 
Huu ni wakati wa high season kwahiyo hao wadada wanatumika balaa ingawa nao wanavuna pesa si haba.
Nadhani hizo picha ni moja ya namna za kujitangaza.
 
Eti Waafrika kabla ya kuja kwa mkoloni tulikuwa tunavaa magome ya miti na wakati mwingine hatuvai kitu kabisaaaaa.. sasa naona wakina dada wamepania kuturudisha huko,, kwasasa nguo kwao si lazima bali option hususan za ndani...

Nimejaribu kuwaza kwa maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…