Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi.
Rais alovyoanza kuongoza hii nchi, kila mmoja aliona nia yake nzuri, dhamira yake nzuri, na kiukweli alikong'a nyoyo za wananchi kwa sababu miezi yake mitatu ya kwanza aliongoza nchi kwa hekima, utu na alifanya mambo mazuri yenye kuleta faraja na matumaini.
Lakini kadri siku zinavyokwenda ameanza kuwa divisive, anatoa kauli si za kuunganisha bali za kutenganisha, si kauli za kweli bali zenye uwongouwongo. Sasa haifai kwa mtu mwenye cheo nyeti kama chake kutoa kauli za kudanganyadanfanya, hiyo ni aibu kubwa.
Tazama Jeshi la polisi linavyopika uwongo na kupitia uongo huo kuumiza watu.
Leo jeshi linatamka kuwa Mbowe ana shutuma za kutaka kuua viongozi, lakini mashitaka wanayofungua hilo kosa hawaliweki. Hii kama siyo uzandiki, uchochezi, uchonganishi ni nini?
Chukulia mfano Interview za IGP Sirro katika kujustify kwao kutofanya uchunguzi sakata la Lissu, anadai kuwa alimpigia Simu Lissu akahojiwe, lakini Lissu akakataa, at the same time hatuelezi keshataja kumhoji nani mwingine, maana shahidi wa shauri hawezi kuwa mmoja!
Leo tunaona Hata TBC nayo inarusha taarifa za uongo, wanatafuta vijana wasiohusiana na CHADEMA, wanawavisha uniforms za CHADEMA kisha wanajifanya eti ni vijana wa chama hicho wanapinga sera na mipango ya Chama kwenye ishu ya katiba mpya. Haya mambo yote yako staged, ni uwongo mtupu, wanawadanganya watanzania
Funga kazi ni rais mwenyewe, anakuja front na kudanganya waziwazi eti Watanzania wamekubali suala kodi za miamala, hii ameipata wapi?
Pia anapokuja na kutusemea watanzania eti hatuhitaji katiba mpya bali tunahitaji maji, kwanza nani kamwambia kuwa katiba mpya itakausha vyanzo vya maji nchini?, nani kamwambia kuwa jatiba mpya itazuia wananchi wasiletewe maji?. By the way chama chake tangu enzi za TANU kiko madaraani kwa zaidi ya miaka 60, myda wote huo hakuna katiba hii tunayoipigania, ni kitu gani kiliwazuia kuleta maji?
Rais Samia akumbuke tu, ni suala la katiba mpya lililomtbulisha kwa wananchi wengi kama kiongozi, kabla ya hapo tulikuwa hatumjui. Sasa inashangza mtu aliyekwisha kaa kwenye bunge la katiba, akala posho za vikao vta bunge hilo ambazo ni kodi za wananchi, tena akawa malu mwenyekiti wa bunge hilo LEO hii anakuja anatwambia eti haoni kipaumbele cha katiba mpya!, Huu ni utani mkubwa sana kwa Watanzania.
Rais anayevunja sheria waziwazi na kiapo cha uraisi alichokula, hii haijakaa sawa kabisa.
Sheria inavipa vyama vya siasa haki ya kufanya mikurano ya hadhara kwa lengo la kusaka wanachama wapya, leo hii unasema inabidi wafanye mikurano ya ndani tu, uvunjaji huu wa sheria ya wazi na kisha kujustify kwa kusema uongo eti marekani hakuna mikurano ya hadhara baada ya uchaguzi ni kwa manufaa ya nani?, Marekani kyba haki ya kufanya mikurano ta hadhara ukitaka, Trump anafanya, na yeyote anayetaka kufanya anafanya, kazi ipo kwenye kuwafanya watu waende, lakini hukatazwi