Serikali ya Awamu ya Sita inavyoimarisha Huduma za Afya Mkoa wa Simiyu, Hospitali ya Rufaa yakamilika

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Hatimaye Mkoa wa Simiyu unaingia katika kundi la mikoa yenye Hospitali za Rufaa hapa Tanzania:
Simiyu ni miongoni mwa Mikoa ambayo ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambayo imejengwa katika Wilaya ya Bariadi umekamilika na tayari vifaa muhimu, bora na vya kisasavimefikishwa hospitalini hapo.

Ujenzi huu ni mwendelezo wa uboreshaji wa huduma za afya nchini unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Dkt.Yahaya Nawanda amesema uwepo wa Hospitali hiyo umeenda sambamba na uwepo wa vifaa vya kisasa kama CT Scan na Digital X-ray Machine pamoja na uzalishaji wa gesi.

Hospitali hiyo ambayo imejengwa katika Wilaya ya Bariadi na imesogeza huduma za kibingwa karibu zaidi na wananchi ambapo kwa mujibu wa Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr.Athanas Ngambakubi sasa hivi wananchi hawatolazimika tena kufuata Huduma za Kibingwa mikoa ya jirani kama Mwanza kwani sasa huduma zote hizo zinapatikana katika hospitali hiyo ya rufaa.

Screenshot 2023-04-07 at 13.15.18.png
 
Sa

View attachment 2579625
Matekelezo ya Ilan Ila wenzetu wapo bize na kutembelea makaburi
 
Back
Top Bottom