Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura..
Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi.
Tatu viongoz wana andaliwa na hawachaguliwi kwa bahati au kusukumiwa kwenye gari kama taifa huko tuendapo tusipo andaa viongoz nakuwatafuta taifa hili litapata shida kubwa sana ya uongozi.
Nne Taifa lolote duniani lazima liendeshwe kwa misingi ya umoja na mshikamano na sio nje y hapo.
Tano kama Taifa hatupo kisiwani hivyo nilazima tujiandae kwa diplomasia za kimataifa au tujindae kuwa kama Iran na mataifa kama Korea. Nilazima tuishi kama wenzetu wanavyoishi hata kwa unafiki ili kufikiamalengo dunian.
Sita Utu haijalishi wew ni nan ila nilazima u feel vile wengine wana feel au kile usichopenda tendewa usitendee wenzako.
Waugwana ongezeeni nin umekiona ktk awamu hii.