Serikali ya Canada imetishia kuvunja uhusiano na Uganda kama ikipitisha sheria ya kupinga ushoga

Serikali ya Canada imetishia kuvunja uhusiano na Uganda kama ikipitisha sheria ya kupinga ushoga

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Serikali ya canada imetishia kuvunja uhusiano na uganda kama ikipitisha sheria ya kukandamiza mashoga.
Siku ya jumatatu balozi wa Uganda aliitwa ghafla kujieleza kwa waziri wa mambo ya nje wa Canada.

Balozi wa Uganda Alintuna Nsambu amesema jana aliitwa kujieleza pia amesema nchi nyingi za western zitavunja uhusiano na uganda muswada huo ukipitishwa.

Hivo waganda wachague misaada au kupinga ushoga
 
The only part i stay unshaken opposing EU and America policies is interference of other states rights especially on major thngs like these which concern morals. To them what they do n thnk is what is right..!! The future of the world should be changed!
 
wacha uhusiano uvunjike africa should stick on that we depend each other tusitishane hapa
 
Museveni hana jeuri ya kusaini. Yupo madarakani kwasababu yao wanamlea! Hana support ya wananchi wala hana support ya jumuia yoyote strong!

Mwenye Jeuri Africa ni members wa SADC kama Mugabe, nae kwasababu ya support ya SADC. SADC inawakera sana west ndio maana wakakomaa kuidhamini EAC na kujaribu kuihamisha Tanzania kwa kutumia hao vibaraka M7 na PK ili ipungue nguvu, ila wamechemsha!
 
Inasemekana Mugabe ana Elite force ambayo...hata SA hawawezi kuigusa...kipindi cha vurugu kati ya Mugabe na Morgan T. SA walitishia kutuma jeshi lake huko kudhibiti hali ya mambo alichowaambia Mugabe hao wasauzi ni kuwa endepo watajaribu ...waahakishe wameandaa bajeti ya kutosha kuijenga Pretoria na Cape Town...wasauzi waliufyata. Pia kudhibitisha ubora wa kikosi cha Mugabe...rejea vita ya kumuondoa Mobutu na songombingo iliyofuatia...Ni Mugabe na waenzake wachache waliowadhibiti Kagame na Museveni...kuingia Kinshasa...

Nikirudi kwenye mada...
Katika hili ninaunga mkono muswada huo Museveni ausaini...Na vitisho anavyofanyiwa vinaweza kuwa na madhara kama kweli ni kibaraka wao. Hii ni litmus test kwa Museveni katika kulinda ethics za kiafrika.
 
Back
Top Bottom