Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Museveni hana jeuri ya kusaini. Yupo madarakani kwasababu yao wanamlea! Hana support ya wananchi wala hana support ya jumuia yoyote strong!
Mwenye Jeuri Africa ni members wa SADC kama Mugabe, nae kwasababu ya support ya SADC. SADC inawakera sana west ndio maana wakakomaa kuidhamini EAC na kujaribu kuihamisha Tanzania kwa kutumia hao vibaraka M7 na PK ili ipungue nguvu, ila wamechemsha!