Serikali ya Dk.Samia Yatenga Bilioni 450 Kujenga Arena ya Wasanii Kawe.

Serikali ya Dk.Samia Yatenga Bilioni 450 Kujenga Arena ya Wasanii Kawe.

Hiyo ARENA ilipaswa ijengwe kwenye ENEO KUBWA LA Serikali ambalo Hayati Magufuli alilitoa kwa Mbunge wa Jimbo la KIBAMBA maenwo ya KWEMBE LUGURUNI.
Nashangaa KAWE!!! .
Kawe kuna msongamano, Serikali lazima izingatie uwiano wa kusambaza furasa kwenye maeneo ya Jiji na sio kusongamanisha eneo moja.
 
Ni kweli aiseee,
Luguruni ingekuwa poa, sema shida huko hakuna hotel kubwa kubwa
 
Nasikia mpaka harusi ya mobeto serikali ya ccm ilishugulikia mpaka mahali ya zizi B ili 2025 tushindwe kumuuluza lucas mushamba kuwa sera za ccm naye kuwa hata olewa lini.
 
Kweli taifa la wakata mauno

Acha wajenge tu tukate mauno vizuri

Ova
 
Dah hii kweli ndo tanganyika kila mtu aingiae madaraka anaanzish inshu zake
 
Back
Top Bottom