ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawa hawa wasanini wa studio ambao kiimba live ni utata😀😇Kila siku ni habari njema yaani zinawaumiza na kuwatesa sana Haters wa Samia sana ila ndio hivyo tena usiyempenda amekuja
View: https://www.instagram.com/reel/DGqLKNEoYqd/?igsh=aTdnZDN1YjE2dXNs
My Take
Hakuna Rais amewapi pata mafanikio ya Michezo na Burudani kama awamu ya Samia.
Hao haoHawa hawa wasanini wa studio ambao kiimba live ni utata😀😇
Kazi kweli yan!Hao hao
Ni kweli aiseee,Hiyo ARENA ilipaswa ijengwe kwenye ENEO KUBWA LA Serikali ambalo Hayati Magufuli alilitoa kwa Mbunge wa Jimbo la KIBAMBA maenwo ya KWEMBE LUGURUNI.
Nashangaa KAWE!!! .
Kawe kuna msongamano, Serikali lazima izingatie uwiano wa kusambaza furasa kwenye maeneo ya Jiji na sio kusongamanisha eneo moja.
Chawa ya mumieKila siku ni habari njema yaani zinawaumiza na kuwatesa sana Haters wa Samia sana ila ndio hivyo tena usiyempenda amekuja
View: https://www.instagram.com/reel/DGqLKNEoYqd/?igsh=aTdnZDN1YjE2dXNs
My Take
Hakuna Rais amewapi pata mafanikio ya Michezo na Burudani kama awamu ya Samia.