Serikali ya DR Congo yamuonya Kagame kumuongelea vibaya Rais Tshisekedi

Serikali ya DR Congo yamuonya Kagame kumuongelea vibaya Rais Tshisekedi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1669990339871.png


Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro

Muyaya amesema Kagame hana sifa ya kuongelea masuala ya Utawala Bora kwa kuwa kwenye suala la Demokrasia, duniani kote yeye ndiye wa mwisho kwenye orodha hiyo

Amehoji "Je, uhuru wa kujieleza upo Rwanda, Je, uhuru wa maandamano upo nchini Rwanda? Ni bora kwanza aangalie nchi yake kama anaweza kuungana na upinzani wowote".

=====================

The Democratic Republic of Congo government has criticised Rwandan President Paul Kagame for his remarks on the elections in the country.

The remarks on Thursday come after the Rwandan president had accused his Congolese counterpart Felix Tshisekedi of exploiting the violence in eastern DRC to delay elections.

"I think that President Kagame has no standing to make any comment on what concerns the elections," Congolese government spokesman Patrick Muyaya told reporters, recalling in particular that through a constitutional referendum held in 2015, Kagame had "ensured that he would remain in power until 2034."

"Does freedom of expression exist in Rwanda?" he questioned. "Does freedom of demonstration exist in Rwanda? No," he continued, before adding: "It is better that he first looks at his own country if he is able to support any opposition to his unique thinking.

"For everything that concerns democracy, worldwide he is the last on the list", added the spokesman and Minister of Communication.

The eastern DRC is plagued by violence from numerous armed groups, including the M23, a mostly Tutsi rebellion that has seized large swaths of territory in North Kivu in recent months. Kinshasa says the rebellion is actively supported by Rwanda - a claim Kigali disputes.

-Background-

In a speech to the nation, Kagame said Wednesday that the problem could be solved if the DRC, where a presidential election is due in late 2023, did not try "to create the conditions for an emergency situation so that the elections do not take place.

According to Mr. Muyaya, Mr. Kagame's "ambition" is "to destabilize Mr. Tshisekedi politically" so that he will not be re-elected, in order to have someone in power in Kinshasa who will allow him "to continue his policy of plundering" the eastern part of the Democratic Republic of Congo, which is rich in minerals of all kinds.

A five-day truce between the Congolese army and the M23 has held, but heavy gunfire resumed Thursday, and Kinshasa accused the rebels of massacring 50 civilians Tuesday in a North Kivu village.

AFRICANNEWS
 
Wapigane bana, sisi tutapokea wakimbizi tu.
 
Kafanya vizuri kumjibu PK maana kagame ana vitisho vya kishamba sana alijaribu kwa kikwete akagonga mwamba, kama anataka serikali ya congo iongee na waasi wa m23 na yeye aongee na waasi wa fdlr ambao walikua watawala halali aliowatoa madarakani kwa mabavu
 
Kafanya vizuri kumjibu PK maana kagame ana vitisho vya kishamba sana alijaribu kwa kikwete akagonga mwamba, kama anataka serikali ya congo iongee na waasi wa m23 na yeye aongee na waasi wa fdlr ambao walikua watawala halali aliowatoa madarakani kwa mabavu
Kabisa....

Huyu jamaa ni tatizo kwenye ukanda huu.
 
DRC nimegundua ni waoga,washaomba msaada wa kijeshi nchi zote za jirani lakini bado waaogopa,walitakiwa waanze wao kwanza jeshi lao kupeleka moto kwa PK,lakini wakiwaza mayeno ya Falii Ipupa na Fele Gora wanaghairi kufa.
 
Wakongo wanapenda mno kukata viuno na kucheza ndombolo
 
Back
Top Bottom