Serikali ya DRC imeziomba timu za mpira ulaya kusitisha kuitangaza Rwanda

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Waziri wa mambo ya nje DRC Theresa Kayikwamba Wagner ameziomba na kuzitaka timu za mpira wa miguu Ulaya Arsenal, Bayern Munich na Paris saint Germain PSG kusitisha mara moja mikata yao ya ufadhili iliyoingia na Rwanda kuitangaza akidai mikataba hiyo imejaa damu kutokana na vita inayoendelea huko mashariki ya kongo.

Wizara ya afya Kongo imesema kuna miili karibu 800 katika mortuaries jijini Goma kutokana na vita ambavyo M12
3 wakifanya mashambulizi wakiungwa mkono na Rwanda kuuteka mji mkubwa wa mashariki ya Kongo Goma.

Waziri huyo kaziandikia klabu hizo nakuwaambia ikumbukwe nakuendelea kuifadhili Rwanda wajue mikono yao imejaa damu.

Anaendelea kudai Rwanda ina wanajeshi zaidi ya 4000 Goma. Na vita hivyo vimesababisha mauaji, ubakaji, watu kupoteza makazi, kukosa chakula, maji na usalama.

20250202_214529.jpg
 
Swahiba wake anayapta machungu ya kutoka kwa Rais Trump.

SA hakuna Rais.

IMG-20250203-WA0000.jpg
 
Waziri wa mambo ya nje DRC Theresa Kayikwamba Wagner ameziomba na kuzitaka timu za mpira wa miguu Ulaya Arsenal, Bayern Munich na Paris saint Germain PSG kusitisha mara moja mikata yao ya ufadhili iliyoingia na Rwanda kuitangaza akidai mikataba hiyo imejaa damu kutokana na vita inayoendelea huko mashariki ya kongo.

Wizara ya afya Kongo imesema kuna miili karibu 800 katika mortuaries jijini Goma kutokana na vita ambavyo M12
3 wakifanya mashambulizi wakiungwa mkono na Rwanda kuuteka mji mkubwa wa mashariki ya Kongo Goma.

Waziri huyo kaziandikia klabu hizo nakuwaambia ikumbukwe nakuendelea kuifadhili Rwanda wajue mikono yao imejaa damu.

Anaendelea kudai Rwanda ina wanajeshi zaidi ya 4000 Goma. Na vita hivyo vimesababisha mauaji, ubakaji, watu kupoteza makazi, kukosa chakula, maji na usalama.

View attachment 3222892
kagame ni fashisti
 
Back
Top Bottom