MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Tupate tu jamhuri mpya changa ya banyamulenga hapo eastern congo tuondokane na hizi vita zisizo koma. Tuwaachie middle east mambo yaoDaah M23 chukueni tu iyo nchii asee
hata m23 wakifanikiwa kuchukua hawatabadili lolote maana wao wanafadhiriwa na mtu , wakiteka nchi mfadhiri atawadhibit wawe na serikali dhaifu ili waendelee kuiba mali ndan ya DRC , wakitaka amka tu mfadhiri anaunda kundi au mapinduzi ili kuwatoa wanaotaka amka , swala la DRC halitakuja tatuliwa na wakongo bali majirab tukiungana na kuacha akili za uomba omba bas DRC itakuwa huruDaah M23 chukueni tu iyo nchii asee
Ni tofauti kabisa na Baba yake hayati Etienne Tshisekedi angalia alivyowasababishia Askari wa South Africa wawe mateka.Tshiseked ana kichwa kizito sana
Tanzania will be nextTupate tu jamhuri mpya changa ya banyamulenga hapo eastern congo tuondokane na hizi vita zisizo koma. Tuwaachie middle east mambo yao
Mr. tall aliwaonya wakae mbali, wakajiona wanaweza, akachimba kashimo kidogo tu, wakadumbukia. Sasa hivi,kawanyamazia, lakini kawaponda panapouma. Waliambiwa njia pekee ya kuachiwa huru, ni kupitia Rwanda,wakiwa wamevalia sale zao,bila silaha wala gari. South Africa, ikadai inahitaji wapite kama diplomats. Vuta nikuvute ndo hapo ilipobaki sasa.Ni tofauti kabisa na Baba yake hayati Etienne Tshisekedi angalia alivyowasababishia Askari wa South Africa wawe mateka.
View: https://youtu.be/puHTYTofgqg?si=FycV3jsqgw_zFd50Sikiliza hii Video uone Tshisekedi alivyowaingiza watu Vyoo vya Kike.
Si ajabu na hizo fedha zikapigwa watu wakanunua Property huko France wanapopapenda.View attachment 3243025
Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
Sio vilahisi kama unavyo fikiria.Tanzania will be next
Nchi ina umoja na upendo na hizo ndizo tunu zetu na tutazilinda kwa jasho na damu.Tanzania will be next
Wakishaichukua DRC, tunakuwa tumezingirwa pakubwa…Sio vilahisi kama unavyo fikiria.
Ukanda wetu huu Hawa majirani tanzania ni kama wanavyo Iona Russia west
Kwani wewe ni mTz? Kaa pembeni..Nchi ina umoja na upendo na hizo ndizo tunu zetu na tutazilinda kwa jasho na damu.
Umeshanivua uraia wangu mara hii??!Kwani wewe ni mTz? Kaa pembeni..
HIZI DALILI SI NZURIKwani wewe ni mTz? Kaa pembeni..
Mkuu mbona matangazo ya baadhi ya nchi za ulaya ikiwemo Belgium na jirani yetu 🇰🇪 kuwataka watu wao waondoke yameshamiri usalama upo?Mr. tall aliwaonya wakae mbali, wakajiona wanaweza, akachimba kashimo kidogo tu, wakadumbukia. Sasa hivi,kawanyamazia, lakini kawaponda panapouma. Waliambiwa njia pekee ya kuachiwa huru, ni kupitia Rwanda,wakiwa wamevalia sale zao,bila silaha wala gari. South Africa, ikadai inahitaji wapite kama diplomats. Vuta nikuvute ndo hapo ilipobaki sasa.