Prince Mellance
Member
- Aug 30, 2022
- 28
- 24
Serekali ya Dunia ni serekali itakayo unganisha watu wote na kuikomboa Dunia na kufanya Dunia nzima tuwe kitu kimoja na kuwa na nguvu sawa pamoja na maendeleo.
KWA NINI TUWE NA SEREKALI YA DUNIA?
Serekali ya Dunia ndio suluhisho pekee la Dunia na itakayo ikomboa Dunia na watu wote kuishi vizuri kuwa na usawa na haki kwa kila mmoja.
Sheria na haki zote za biandamu ni sawa na hazina mipaka wala utofauti tunaitaji kuwa na sheria kuu moja zitakazo tulinda sote na kutupa haki zetu sote.
KUNA SHIDA GANI TUSIPOKUWA NA SEREKALI YA DUNIA?
Tutaendelea kutawaliwa na watu walio na nguvu au nchi kwa maslahi yao wenyewe.
Atutaweza kuzuia vita au kujenga amani Dunia ya kudumu hasa kipindi hiki cha matishio ya nyuklia atujui kesho yetu itakuwaje.
JE SEREKALI YA DUNIA ITAFANYA TUISHI KILA MAHALI KAMA MAREKANI, DUBAI N.K
Itaondoa ugumu ila tukiungana inamana kila mahali patakuwa kama Dubai ama Singapore kwa sababu kwa pamoja tuna nguvu ya kila sehemu ya Dunia iependeze na kuijenga vizuri ni wajibu wetu sote.
SI NI HATARI SANA NGUVU YOTE YA KUTAWALA DUNIA AWE NAYO MTU MMOJA NA MARAISI WETU WATAKOSA NGUVU?
Serekali ya Dunia itajengwa kwa haki na usawa wa mihimili yake tofauti na sasa hivi mhimili mmoja unanguvu.
Na pia Dunia nzima atuwezi kushindwa kumumudu mtu mmoja. Ni bora kuwa na dikteta mmoja ni rahisi kupamabana nae na kumudu kuliko madikteta mia wenye nguvu
Na viongozi wetu kwa pamoja itakuwa rahisi kushirikiana ikiwezekana muungano tulionayo kama Afrika Mashariki iwe imarazaidi maana wote tunakuwa kitu kimoja.
SEREKALI UN DUNIA ITAFANYA KITU GANI AMBACHO ATUWEZI KIFANYA?
Maendeleo kwa wote na usawa pamoja na haki Dunia nzima atutaweza kuyapata bila kuungana.
Tuna nguvu kazi kubwa, rasimalimali zote na teknolojia kubwa ila atuwezi kuijenga Dunia ikapendeza ki miundombinu, kiuchumi ata watu kuishi vizuri tunaitaji kuungana tuwe na nguvu.
Kuwa na uhakika wa amani, demokrasia ya kweli na sheria bora kwa watu wote.
KUNA UGUMU GANI YA KUWA NA SEREKALI YA DUNIA?
Akuna ugumi wowote ni watu wakifahamu na kuamua serekali ya Dunia inawekuwepo.
KAMA UN NA SEREKALI ZETU ZIME SHINDWA KWA NINI SEREKALI YA DUNIA ZIWEZE?
Tumeshindwa kwa sababu atujaungana nguvu kubwa ipo tukiungana na kuacha kuwa maadui sisi kwa sisi.
TUNAWEZA VIPI KUANZA KUWA NA SEREKALI YA DUNIA.
Tunaweza tuakanza kwa kuwa na jeshi la pamoja.
Naitwa Prince Ndeserua Napenda kuitumikia falsafa ili tujenge Dunia iloyo bora.
Jamii inaitaji maarifa ili kuweza kubadilika na kupitia kazi zangu namna kuishi kama aliens watu wemye akili na maarifa kwa pamoja tunaweza kuifanya Duinia iwe sehemu bora zaidi.
Kwa maelezo zaidi na kazi zengine unaweza tembelea acount yangu ya instagram jina Prince Ndeserua.
Pia
Unaweza angalia mahojiano yake youtube na mengineyo aliyofanya na bingo online tz.
Asante kwa muda wako kazi njema.

Upvote
0