Serikali ya Kenya hulipa mshahara tarehe ngapi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara.

Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu.

MK254 Natanguliza shukrani.
 
34 Hadi tarehe 5 ya MWEZI mwengine
Kule Sasa hivi Wana Hali mbayaaa
 
Back
Top Bottom