flyingcrane
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 241
- 88
Kuondoka kwa olelenku na kimaiyo ni mojawapo ya suluhisho nchini kenya,, uhuru usalama wa mwananchi unaanza nawewe rais na serikali yako sisi nikusaidia tu...ingekuwa vyema baadhi ya wakenya turuhusiwe na serikali kujifunza matumizi ya bunduki ili tuweze kujilinda wenyewe kutokana na Alshabaab. Wakenya (wakristo kwa waislamu) tusife moyo ushindi tutaupata hatimaye