Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama gani mliojenga?Kwa ufupi ni kuwa pesa inaweza kujenga Kilomita 800 za Dual carriage way, Yaani Njia nne za Lami kutoka Dar mpaka Mbeya.
Hakuna Mwenye Uchungu na Kenya na Maskini wa Kenya,
Ni Mwendo wa kupiga hela tu
Ni kweli hamna ya kuchezea. Basi wapi ya kujenga dual carriageway Dar Hadi Mbeya nyinyi msio wafisadi?Hatuna hiyo hela ya Kuchezea, Tungekuwa nayo tungefanyia makubwa, Hata nyie hamna mnategemea kukopa.
Hayakuhusu. Wewe ukipata hela za chipsi mayai kula kama umetulia. Ya wenyewe yasikukondesheHakuna Mwenye Uchungu na Kenya na Maskini wa Kenya,
Ni Mwendo wa kupiga hela tu
Kuna hiyo list huyo mtu kailist hapo ni balaa 😂😂😂Imagine,
Even animals are running away[emoji2]
Tunajenga daraja lenye urefu wa zaidi ya 3Km kule ziwa Victoria kwa gharama ya Tshs 700B, wakati Kenya inajenga 500M kwa Tshs 1.8 trl. Kwa haraka haraka ni sawa na "5 times much expensive".Ni kweli hamna ya kuchezea. Basi wapi ya kujenga dual carriageway Dar Hadi Mbeya nyinyi msio wafisadi?
Wachwa wapigwe hadi washike adabu 😂😂😂Tunajenga daraja lenye urefu wa zaidi ya 3Km kule ziwa Victoria kwa gharama ya Tshs 700B, wakati Kenya inajenga 500M kwa Tshs 1.8 trl. Kwa haraka haraka ni sawa na "5 times much expensive".
Hata katika SGR pia Kenya mlikua " twice expensive". Mwisho mnaishia kusema hiyo ni "Grade 2" wakati yetu ni "grade one".
Wizi...Rushwa..wizi...Rushwa
Ufisadi huu ni Wa karne,