Serikali ya kenya Kenya Kutumia $885mn (1.8trilion ) kujenga daraja la 500m Likoni

Hatuna hiyo hela ya Kuchezea, Tungekuwa nayo tungefanyia makubwa, Hata nyie hamna mnategemea kukopa.
Ni kweli hamna ya kuchezea. Basi wapi ya kujenga dual carriageway Dar Hadi Mbeya nyinyi msio wafisadi?
 
Ni kweli hamna ya kuchezea. Basi wapi ya kujenga dual carriageway Dar Hadi Mbeya nyinyi msio wafisadi?
Tunajenga daraja lenye urefu wa zaidi ya 3Km kule ziwa Victoria kwa gharama ya Tshs 700B, wakati Kenya inajenga 500M kwa Tshs 1.8 trl. Kwa haraka haraka ni sawa na "5 times much expensive".

Hata katika SGR pia Kenya mlikua " twice expensive". Mwisho mnaishia kusema hiyo ni "Grade 2" wakati yetu ni "grade one".

Wizi...Rushwa..wizi...Rushwa
 
Wachwa wapigwe hadi washike adabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha wakati Tanzania inajenga daraja lenye urefu wa 3.2 kilometres kwa gharama ambayo ni sawa na kujenga madaraja mengine mawili zaidi kama hayo kwa hiyo pesa ya Kenya ya kujenga daraja moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna nchi zimerogwa

 
Ufisadi huu ni Wa karne,

LDC problems.
Concentrate on your own shithole.

Kenya is a land of rule of law. Compensations must be paid, unlike your dictatorial kingdom of makufuli.

Furthermore, the feasibility study was done by Japan. They arrived at the cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…