Serikali ya kenya Kenya Kutumia $885mn (1.8trilion ) kujenga daraja la 500m Likoni

Ufisadi huu ni Wa karne,
wacha misrepresentation of facts na outright porojo.
1)88b ksh in loan nafuu kutoka Japan that include this bridge na SEZ project ndogo kundu.
2)likoni bridge aka Mombasa bridge in 46b ksh and not 88 as you are implying.
3) likoni bridge is 1.4km long and about 10 km if you include the support and feeder roads which is what this project is
 
Halafu watakuambia wao ni wasomi na kwao ipo democracy, sasa kama wananchi mnatapeliwa kiasi hiki hiyo elimu na democracy mliyonayo ina kazi gani wakati mnaibiwa utafikiri mazoba
 
Hapa Kenya wizi na rushwa Ni kawaida Ila mambo yanafanyika ukilinganisha na kwenu kwa Asali na Maziwa Ila hamna linalofanyika. Hebu tufumbue macho kwa picha za daraja lenu la 700billion shs.
 
LDC problems.
Concentrate on your own shithole.

Kenya is a land of rule of law. Compensations must be paid, unlike your dictatorial kingdom of makufuli.

Furthermore, the feasibility study was done by Japan. They arrived at the cost.
Hahahaha, mnaenda kulipa compensation baharini?, kwahiyo wajapan ambao ndio wao wanaowakopesha pesa, haohao ndio wanafanya "Feasibility study", haohao ndio wanajenga, unajisifia kwa hilo?, ninyi kweli hamna akili.

Kwanini hamjifinzi nini wakenya?, huu mtindo wa kutumia nchi hiyo hiyo kufanya kila kitu ndio sababu mlidhulumiwa na mchina ktk SGR, ina maana Kenya nzima hamuwezi kufanya " Feasibility study"?, bure kabisa ninyi.
 
Hahahaha, angalia post #16 hapo juu. Ninyi ni watu wa hovyo sana, Maneno Mengi tu ila kila kitu mnakopa, hata hilo daraja pia mnakopa, hovyo kabisa ninyi.
Hapa Kenya wizi na rushwa Ni kawaida Ila mambo yanafanyika ukilinganisha na kwenu kwa Asali na Maziwa Ila hamna linalofanyika. Hebu tufumbue macho kwa picha za daraja lenu la 700billion shs.
 
Haya ni mahesabu ya kutaka kuwaibia watu, Likoni bridge has got nothing to do with SEZ, ninyi wakenya lini mtafunguka macho muache kuibiwa pesa zenu?, ninyi ni wajinga sana, kama daraja lina urefu wa 1.4Km, hizo kilometa 10 zinafuata nini tena?, acheni ujinga wenu huo, kila wakati mnaibiwa lakini hamshituki bado mnakubali Maneno ya kijinga.
 
Kwhyo kw akili zako unataka kulinganisha sgr tz na sgr kenya[emoji1787][emoji1787]
Kw kipi haswa cha ajabu sgr tz inayo km sio aibu tupu
 
Kweli akili zako mbovu...kwn unafikiria lile daraja litaanzia wapi...thwn na hyo SEZ umeiwacha wapi...

Semeni tu mumeumia kuskia kenya wana andaa kujenga kifaa cha maana wala sio vile vidaraja vyenu vibovu...(poor designing)
 
Heheee...eti tulidhulumiwa, ngojeni mturuki amalize na awakabidhi kile kituko
 
Kwhyo unapinga km hzo hela zitatumika kabisa kujenga SEZ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh!!unataka kuforce ujinga...
Itabidi upimwe tezi dume
 
mjinga ni anaye comment bila hata kuresearch na kujitahidi kutuaminisha tufwate maoni yake.Just Google or simply search huko YouTube.
Ndogo kundu Special economic zone project na Mombasa gate project(likoni bridge)are two totally different projects but financed by one financial institution, jica to a tune of 88b ksh.46b goes to the bridge rest to sez.
 
Wajinga hawa...waseme tu km wameumia kuskia hizi habari
 
Kwhyo kw akili zako unataka kulinganisha sgr tz na sgr kenya[emoji1787][emoji1787]
Kw kipi haswa cha ajabu sgr tz inayo km sio aibu tupu
Hivi kwenyu pia kuna SGR?

Reli yenu hapo naifananisha na benguela railway ya Angola. From lobito port to southern DRC. Ina urefu wa zaidi ya kilomita 1k..kama 1300km. Angalia cost waliyotumia kujenga Hiyo railway. Angalia locomotives zake, vichwa na behewa. Halafu imejengwa na same company iliyojenga hiyo yenu. Ndio size yenu hiyo chinnese standard neno hilo liliwazuzua.

Halafu hapo likoni hakuna cha kusema kuna pesa ya SEZ! Pesa yote ni ya daraja tu na 85% ndio loan na the rest ni grants. Halafu unajua mkijenga madaraja sita tu kama hilo la likoni kwa kutumia cost hizo thamani yake ikoje? Hahah yani mkijenga 6 kama hilo ni pesa inayotosha kujenga hiyo reli yenu from Mombasa to UG border.
 
LDC problems.
Concentrate on your own shithole.

Kenya is a land of rule of law. Compensations must be paid, unlike your dictatorial kingdom of makufuli.

Furthermore, the feasibility study was done by Japan. They arrived at the cost.

Are you compensating the Ocean? To who?
 
Hahahaha, lete ushahidi kama hilo darasha litatumia 46B. Hahahaha mnaona kukubaliana na ukweli kwamba mnaendelea kuibiwa kama kawaida yenu. $886M kujenga daraja moja ni aibu ya karne, iweje gharama ya daraja moja iwe ni Mara mbili ya gharama za Thika high way?, wajinga sana ninyi.
 
Msukuma wa chato kijiji cha chatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…